Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
KODI 400,000 ร 10
Location:KIMARA SUKA
Distance: Dakika 15 Kwa Kutembea Tu ๐ถ
๐Sebule Kubwa Sana
๐Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
๐Vyumba Vyote Master
๐Jiko Kubwa la Kisasa
๐Inajitegemea Umeme Na Maji
๐Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
๐Reserve TANK
๐Ndani Ya Fence
๐Parking Space Available ๐
๐Good Environment ๐
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp