Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: KIMARA SUKA
Distance: Dakika 8-10 Kwa Kutembea Tu 🚶
PRICE: 500,000
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Fenced
✅️Parking Space Available 🚗
✅️LUKU Independent
✅️Water Independent& Yanaflow Ndani 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Good Environment 👍
📌Apartment Iliyo Wazi Ni Ya JUU
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp