Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 400K
#VYUMBA 2 VYA KULALA SIO VIKUBWA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 2-3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.