Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= × 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#AIR-CONDITION
#CCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
#GARDEN
#PARKING
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 600,000/= × 6
🇹🇿 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
💥BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 TUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300