Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 7-10 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
KODI 400,000 × 6
Sebule Kubwa Sana
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Chumba Kimoja Master
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri 🚻
Inajitegemea UMEME Na MAJI
Yanaflow Ndani 24HRS
Reserve Tank
Ipo Kwenye Fence
Parking IPO KUBWA
Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp