Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: UMBALI WA DK 15 KWA MIGUU
SOMA KWA MAKINI HAPA...
PIKPK 1000 MPK GETINI NJIA NZURI..
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEA 🚶🚶
Vyumba 2 vya kulala
Hakuna Master Hapa❌❌
Seble Kubwa
Jiko kubwa(openi kitchen)
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Camera
Mlinzi kampuni
Ndani ya fence zipo
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×4
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja 350,000/=
Inakuwa wazi mwisho wa mwezi karibu sana