Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Magengeni, Mtwara


APARTMENT NZURI SANA 🏘️🏡 INAPANGISHWA
MAHALI: BOKO MAGENGENI
INA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE NA JIKO PIA INA FULL A/C
KODI: TSH 450K KWA MWEZI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ what’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com