Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Mahali chuo kikuu
@
Bei 700,000 kwa mwez
@
Kodi ya miez 6 na dalali 7
@
Zipo 4 kwenye get
@
Inatizama lami
@
Ni vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master garama
@
Fensi parkingi
@
Umeme na maji inajitgemea
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687