Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
#๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Kilometa 2.5 kutoka Main Road. Usafiri Bajaj 500 Ukishuka Unatembea Kwa Mguu Dakika 3 UNAINGIA GETINI.
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja wapo ni Master
โข Jiko Kubwa
โข Public Toilet
Apartment zipo 2 ndani ya Eneo Moja Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#
0677370515