Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 300,000 ร 4
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI ๐ป
IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA ๐
UWANJANI PAVING BLOCK ๐ซ
UMEME LUKU YAKO
MAJI YA BILL DAWASA
KODI 300,000 ร 4/5/6
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp