Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Distance: KM 2 Kutoka Kimara Korogwe Mwendokasi Au UBUNGO EXTERNAL TFDA
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Dinning Room
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Fenced &Parking Available 🚘
✍️Umeme Na Maji Meter Yako
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Full Security 24HRS
✍️Good Environment 💥
PRICE: 350,000 × 6
NB: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI 05/12/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















