Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA IPO KIMARA TEMBONI NIMEISGUSHA
BEI LAKI 400,000X6
APARTMENT KALI IPO KIMARA
TEMBONI UMBALI DK 6 SITA ZA MIGUU
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
JIKO SAFI. SEBULE KUBWA CHOO PABLIKI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO NDANI YA FENSI USALAMA WA KUTOSHA PAKI IPO KUBWA SANA BARABARA RAFIKI KWA MAGARI YOYOTE
PIGA SIMUU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI