Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA STAND ALONE
💧Location :: GOBA NJIA NNE - KARIBU NA BARABARA
💧Bei :: 700,000Tsh Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu (Kimoja Masta)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Dinning
📍Jiko zuri linafungwa makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call /Whatsapp
0693460720
0761719944