Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba ya kujitegemea ipo Goba mageti mita 300 kutoka lami ina vyumba vitatu viwili masta sebule jiko diining na public toilet ina AC vyumbani mwote na sebuleni 850,000 kwa mwezi
Contact
0625584914