Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#STEND_ALON KUBWA YA KISASA INAPABGISHWA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KILOMITA MOJA TU
USAFILI UPO MWINGI BAJAJI MIA TANO
BEI LAKI TANO KWA MWEZI
500,000X6
SIFA ZA NYUMBA
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#KIMOJA MASTA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA
#FULL PEVING
INAJITEGEMEA KILA KITU
INA TILES JIOSAM DILISHA KIOO
ITAKUWA WAZI
3/3//2025
KUONA NA KULIPA RUKSA
PICHA NDANI KUNA VYOMBO NDUGU MTEJA UKIJA UTAKAGUA HADI NDANI
#SERVICER_CHARGER_15000
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343