Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Nyumba na Godaun vinapangishwa kimara suka.
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja master, Jiko, seble na stoo.
Godaun Lina ukubwa wa square meters 385.
Vyote kwa mwezi million 3.5.
Kama unataka nyumba bila Godaun mil 1 kwa mwezi, na kama unataka Godaun bila hiyo nyumba ya kuishi kodi yake kwa mwezi ni million 2.5
Umbali kutoka morogoro Road ni Mita 100.
#0625606710_