Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
🔥 Inapangishwa MAWASILIANO
📍 Kodi 500,000/= ×6
________
__
• Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko zuri sana
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Mazingira mazuri
* Car Parking kubwa
* Nyumba ina tazama lami
#Ipo MAWASILIANO STAND hapa lami had mlangon
__________
*MUHIMU SANA:-*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 500,000/=
#Kupelekwa Kuona ñi 20,000/=
№:- 0753172516