Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🏡✨ VILLA MPYA ZA KISASA — ZINAPANGISHWA ✨🏡
📍 Mahali: Mbezi Beach Chini, Dar es Salaam, Tanzania
💰 Kodi: TSh 2,500,000 kwa mwezi
📆 Malipo: Miezi 6 kwa mara moja
🏠 Villa mbili kubwa za kifamilia, zenye muonekano wa kisasa, zinapangishwa.
Zina:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala (🛌 2 ni Master)
🛋️ Sebule kubwa yenye mwonekano wa kuvutia
🍽️ Jiko la kisasa
🚿 Mabafu & vyoo vya ndani
🌡️ Public Heater
🚪 Makabati ya kisasa
🌟 Gypsum ceiling
🧱 Tiles & 🪟 Sliding windows
⚡ Umeme wa Luku (binafsi)
🚰 Maji ya bomba 24/7
🚗 Maegesho ya magari (parking space)
🌳 Garden yenye uzio (fenced)
🧱 Paving blocks
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kutembelea:
#0689138795whatsapp
#0758998074👈