Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam







STAND ALON KALI SANA
FULL FANCHER YA KISASA INAPANGISHWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR CONDITION VYUMBA VYOTE NA KWENYE SEBULE PIA
#CCTV CAMERA KILA KONA
#GATE LA REMOTE
#PIA KUNA GARDEN NZUR SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI
DAWASA INAJITEGEMEA NA PIA KUNA TANK JUU
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 1,500,000/= X 6
NB: PIA UKIHITAJI TUKUTOLEE VITU NDUGU MTEJA TUTATOA ILA BEI ITABAKI IYO IYO KAZI KWAKO
💫💫 NYUMBA HII IPO MWENGE BUS STOP NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA