Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Segerea, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Segerea Chama. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati (la njee)
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 350,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.