Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BINAFSI
IPO GOBA TEGETA A - DAR ES SALAM TANZANIA
Ina Vyumba Vitatu Viwili Master, Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limerasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri
Bei : 130 Million
#0785352140