Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUUZWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - KINGS PRIMARY
💧Bei :: 70M
💧ENEO :: SQM 400
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu (Kimoja Master)
📍Sebule kubwa
📍Dinning
📍Choo cha Public
📍Jiko
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp