Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA BEI YA KUTUPA
MAHALI- GOBA KINZUDI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 1000
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MILIKI SAFI
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitatu vya kulala Master, Ac Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! ๐ค
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 240
Maongezi yapo
__
0745559598