Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







NYUMBA I N A U Z W A TZS 60 MILIONI MAONGEZI YAPO
📍IPO GONGO LA MBOTO MAJOHE CHUO RADA JIMBO LA UKONGA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TZ
✔️VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
✔️SEBULE
✔️DINING
✔️JIKO
✔️STORE
✔️PUBLIC TOILET
✔️KILA CHUMBA KINA FENI
✔️PEVING BROCK
✔️MAJI YANATOKA MPAKA NDANI
✔️LUKU
✔️FENCE
UKUBWA WA ENEO SQM 4OO
DOCUMENT MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
BEI TZS 60 MILIONI
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254