Nyumba inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







🖌️UKIIKOSA USINILAUMU🖌️
Nyumba inauzwa gongo la mboto majohe (viwege kwa mustafa) wilaya ya ilala Dar
👉BEI MILION 33 (usiogope)
Vyumba v3 kimoja masta
Siting dining
jiko
Tailz jipsam maji umeme
Mnara wa tank
Eneo sqm 260 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga 0672580680



















