Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam
#NYUMBA INAUZWA & IMESHUKA BEI SANA
#BEI: IMETOKA 35M MPAKA 30M
#ILIPO: GONGO LA MBOTO MAJOHE
✅️INA SEBULE, VYUMBA VITATU VYA KULALA #MASTA MOJA, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
✅️MAJI YAPO NA NYUMBA HAIKO MBALI NA BARABARA
☑️IWAHI HARAKA SANA
KUPELEKWA NI 30K
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254