Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani




NYUMBA_INAUZWA(NYUMBA BADO MPYA)
MAHALI KIBAHA PICHA YA NDEGE
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500(20*25)
NYUMBA TAYAR INA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI
BARABARA ZAKE NI NZURI
NYUMBA IPO NDAN YA FENS
NJE KUNA SPACE KUBWA IMEBAKI UNAWEZA KUJENGA MABANDA KAMA NI MFUGAJI AU KUFANYA CAR PARKING
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA
DINNING ROOM
JIKO
STOO
PUBLIC TOILET
BEI TSH 65/=MILLION
SITE VISIT 30000(hii itadumu mpka utakapo Pata nyumba kwetu)
☎️ #0757208653