Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani


*Eneo lililojengwa kwa matumizi ya kiwanda linauzwa Kibaha-Visiga*
*Umbali* Kutoka Morogoro hadi eneo ni Mita 900
*Location* Barabara ya Zegeleni
-Eneo lina majengo 3 ya Godown yenye ukubwa wa Sqm 2440.
-Eneo lina ofisi 5 ambazo hazijakamilika kwa nje ya uzio na ndani ofisi iliyokamilika ya vyumba 2.
-Eneo lina Apartment yenye vyumba 3 vya kulala vyote master bedrooms, sitting, jiko na veranda kubwa.
*Umeme* Eneo lina Umeme wa 3Phase na Single Phase.
-Eneo lina matanki mawili ya maji yenye lita 5000 kila moja.
-Eneo lina CCTV Camera kwa ajili ya ulinzi.
-4 Chumba cha kubadilishia nguo ambacho hakijakamilika kwa wanaume na wanawake pamoja na vyoo vyake 4.
-Ukubwa wa kiwanja 6,134 sqm
*Matumizi* Service Trade
-Documemt: Hati miliki
*Bei ya shilingi bilioni 1.5 maongezi kidogo yapo*
*NOTE*
Pembeni kuna Sqm 2000 za mtu mwingine unaweza kuongeza eneo likatimia Sqm 8000 ambazo sawa na Ekari 2
Contact
0625584914