Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibaha, Pwani







NYUMBA INAUZWA KIBAHA PICHA YA NDEGE
NYUMBA INA INA VYUMBA VITANO VYA KULALA KATI YA IVYO KIMOJA NI MASTER INA JIKO KUBWA NA SEBULE KUBWA NA DINING
NYUMA KUNA NYUMBA NYINGINE YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE NA JIKO NA CHOO
NYUMBA IPO UMBALI WA MITA 600 KUTOKA KITUO CHA BASI PICHA YA NDEGE KIBAHA NA IPO BALABALA YA LAMI IENDAYO SOFU NA NYUMBA INAGUSA LAMI KABISA INAYOELEKEA SOFU
UKUBWA WA KIWANJA NI SQUARE MITA 1110
BEI YA NYUMBA NI TSH 100 MILIONI MAONGEZI YAPO CHA MSINGI FIKA SITE
UMILIKI WA NYUMBA NI ULASIMISHAJI
KUPEKEKWA KUKAGUA SITE NI TSH 50.000
###0655256419