Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA INAUZWA
MAHALI KIBAHA MIEMBE SABA
UMBALI NUSU KM KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI MILLION 38/=
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA
DINNING ROOM
JIKO
PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500
UMEME NA MAJI VIPO
NYUMBA IPO BARABAR YA MTAA
☎️ #0757208653
SITE VISIT 20000