Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA MIKUMI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZ MTAA WA VIGOA
INA UZWA BEI RAISI SANA MABOSS ZANGU TSH MIL 45 TU
NYUMBA KALLI SANA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOYLETY INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU
NYUMBA IPO JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI UNA TEMBEA TU KWA MIGUU MPAKA SITE
INA FENCE GARI NDOGO MOJA INA INGIA NDANI
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITAR 380
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
UKITAJI KUIYONA NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSPP 0759 203175 0759 203175 0652618143