Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mkundi, Morogoro
NYUMBA NI MPYA IPO MKUNDI SHELI MOROGORO
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE YENYE DINING NA SITTING ROOM, JIKO LA KISASA, PUBLIC TOILET.
UWANJA NI SQUARE MITA 700
BEI NI MILIONI HAMSINI NA TANO TU(55,000,000)
SIMU:0752481398