Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Zuzu, Dodoma


NEW PROJECT!!!!!
Eneo la Shule linauzwa pamoja na miundo mbinu yake
~SIFA ZA ENEO
-Madarasa 4
-Ofisi 4 za walimu
-Nyumba ya vyumba 3
-Vyoo vyenye matundu 12
-Ukubwa: Sq. meter 33,260 (Hekari 8.2)
-Document: Hati Safi
-Bei: Million 250
~LOCATION/MAHALI
Kata ya Nzinje (Zuzu)
Mtaa wa Pinda
Eneo lipo Barabarani karibu na SGR na karibu na Ring road
~DISTANCE/UMBALI
Ni kilomita 18 toka Dodoma mjini Hadi site
~MAWASILIANO
Simu 0675 982 221
WhatsApp 0675 982 221
#MilikiArdhiNasi
#viwanjatz
#bungenidodoma #shule