Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA NDANI ZURI LENYE MAKABATI NA PIA KUNA JIKO LA NJE NDUGU MTEJA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
💥ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MLINZI YUPO NI BURE (FREE ) ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
BEI NI 450,000/= X 6
NA PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 1 TUU (CAUTION MONEY NI LAKI 100,000/=)
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419