Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
PRICE: 450,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA
✅️DINNING ROOM
✅️VYUMBA V3 VIKUBWA VIKUBWA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA LA NDANI ZURI LENYE MAKABATI NA PIA KUNA JIKO LA NJE NDUGU MTEJA
✅️PUBLIC TOILET
✅️PARKING KUBWA SANA 🚗
✅️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✅️MLINZI YUPO NI BURE (FREE ) ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
📌PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY 100,000/=)
Location: MBEZI KWA MSUGURI
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
NJIA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp