Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 3
========
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NO MASTER BEDROOM
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#LUKU METER YA UMEME INAJITEGEMEA
#APARTMENT HII IPO NDANI YA FENCE KASOLO GETI
=========
BEI NI 200,000/= X 3
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 700 BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
======
CONT
0683234124
0718367179