Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kati, Arusha


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 800,000/= X 6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KATI YA HIVYO CHUMBA 1 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA 
#JIKO KUBWA LA KISASA YENYE MAKABATI 
#PUBLIC TOILET CHOO NA BAFU 
#CAR PARKING
#INA A/C NDANI 
#GARDEN
#PIA NYUMBA INA ITA YA MAJI 
# PIA KUNA SEHEMU YAKUSOMEA 
BEI NI 800,000/= X 6
________________________________________________________
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO  KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
________________________________________________________
  NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
🎤NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================




















