Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HII NYUMBA IKO KWENYE FESI YAKE YENYEW KODI 400K
IPO KIMARA TEMBON UMBALI KUTOKA LAMI DAKIKA 10 KWA KUTEMBEYA
SIFA NI ZIFATAZO
VYUMBA 4 KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA DINNINGI JIKO KUBWA
CHOO NA BAFU
Umeme ✅️
Maji ✅️ INARUDIWA RAGI
INAFIKIKA VIZURI KWAMAELEZO ZAIDI
PIGA
###0655256419
###0760830706