Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Buza, Dar Es Salaam


APARTMENTS 5 PAMOJA, TSHS.150 MILIONI,BUZA-KINYANTILA/KIYOMBO-SHULE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Bajaj ni 1 Tshs.1,000 kutoka Lami.
Hizini nyumba nzuri za kisasa smbapo kila moja inajitegemea na ni ndani ya Kiwanja kimoja.
Nyumba moja ina Vyumba 3,
Na 4 ni za Vyumba 2 vya kulala
Kila nyumba Ina Masta 1,Sebule,
Jiko na Choo cha Familia ndani.
WAHI UPATE KITEGAUCHUMI SAWIA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________mpg






