Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Iyumbu, Dodoma


📌 Nauza pagale iyumbu udom ushuanii mnooo
📌 kiwanja chake kina sqm 352
📌 1km mpka lamiii
📌 kuna shimoo la choo tayari limefanyiwa finishing
📌 kuna vyumba vinne viwili master jiko na dining
📌 Nipe 16ml ukimbie nalo mbio zitakuokoa Tajiri mali kali bei mserereko utapata wapi unyama kama huu Tajiri 🤝