Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijichi, Dar Es Salaam







Mjengo unauzwa ipo DSM kijichi neruka ukipita geti wey kwa mbere unaikuta iyo gorofa vyumba 4 mvasta sebre dainingloom jiko toiret pabriki
Pia
Ina kiboy cota
Chumba sebre masta
Kuna gadeni
Eneo sgm 1250
Bei milion 550 tsh #068491594 #0716974073