Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
*Nyumba ya Ghorofa inauzwaπIpo Mbezi Beach Makonde juu*
-Vyumba 6 vya kulala, Ghorofani vyumba 4 vya kulala, master bedrooms 2 na chini master bedroom 1, sitting room, dinning room, kitchen, stoo, public toilet chini 2 na juu public toilet 1.
-Apartment za wapangaji 8
-Eneo lina Fremu 3 za Biashara.
-Plot size Sqm 789
-Document: Title Deed
*Bei shilingi milioni 800 maongezi yapo*