Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA YA VYUMBA VINNE (4) TSHS.70 MILIONI, KWA-MSUGULI, MBEZI/KIMARA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
MKATABA WA MAUZIANO.
Kipo tambarare na eneo ni rasmi kwaajili ya MAKAZI.
Ipo umbali wa kilomita 2.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
Hii nyumba inahitaji MABORESHO KIDOGO ILI KUWEZA KUHAMIA vinginevyo usiwe na makuu.
Ni Muezeko wa sasahivi (CONTEMPORARY)
Vyumba 4 vya kulala ( 3-kila chumba na Choo chake)
Nyumba ipo ndani ya Fensi na Umeme na Maji huduma zipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________yhyn/wn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.