Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mkundi, Morogoro
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐๐ (๐๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฅ๐๐ฒ๐)
SIFA ZA NYUMBA.
๐๐ฟ Ukubwa wa Kiwanja: *SqM 1174*
๐๐ฟ Vyumba vinne vya kulala, vyote Master
๐๐ฟ Jiko kubwa sana lenye Makabati na tiles mpaka ukutani
Sebule kubwa sana
๐๐ฟ Dining,
๐๐ฟ Choo cha public
๐๐ฟ Library
๐๐ฟ Chumba kidogo kwa ajili ya watoto kucheza
๐๐ฟ Milango ya Security toka Uturuki
๐๐ฟ Jiko la nje, Store ya Nje,
Shimo kubwa la kuvuna maji ya Mvua (Lenye ujazo wa 80,000 ltrs
๐๐ฟ Paving uwanja mzima (imebaki sehem kidogo kwa ajili ya kulima mbogamboga)
๐๐ฟ Fence kubwa
๐๐ฟ Umeme umeshaingia
๐๐ฟ Mifumo ya maji imeshakamilika
๐๐ฟ Full documents (ina HATI)
Ipo Morogoro (Mkundi Sheli, distance ni 1 KM kutoka Barabara kuu ya kwenda Dodoma)
Price: Mil 150
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ผ๐๐ ๐ฏ๐๐๐ฒ๐ฟ
๐ฌ๐ฒ๐ด๐ต๐ณ๐ญ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ณ ๐ฎ๐ ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐๐ฝ๐ฝ ๐ฌ๐ฒ๐ณ๐ต๐ญ๐ด๐ณ๐ฏ๐ญ๐ฒ