Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Zinga, Bagamoyo, Pwani


Pagali linauzwa Kwa bei poa kabisa,maongezi yapo.ni Zinga Kwa awadhi umbali mfupi toka bagamoyo road, huduma za kijamii zipo, Umeme upo na maji yapo mpaka site, pagali limefika usawa wa renta Lina vyumba vitatu.eneo linafikika nyakati zote. Majirani wakueleweka kabisa mazingira mazuri. 0620278307