Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #350k
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1 Tu
Ndani ya fence zipo 2 parking ya uhakika
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon full cabinets
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa