Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba, Dar Es Salaam
*Nyumba mpya inauzwa Goba-Kantina*
*Location* Njia ya Makongo
*Distance* Kutoka Barabara ya lami ni Meter 450
Nyumba ina vyumba 5 vya kulala vyote master bedrooms, Full AC, dining room, sitting room, kitchen, public toilet, CCTV Camera, Kisima, Electrical Fence, Garden nzuri na shamba la Migomba.
-Plot size Sqm 1,990
-Document: Title Deed
*Bei shillingi milioni 950 maongezi yapo*
#0714128124______