Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA GHOROFA INA UZWA KIGAMBONI KIBADA BEI BILIONI 1 NYUMB INA VYUMBA VITANO VYA KULALA SEBULE JIKO DINNING UKUBWA SQUARE METER 1500 FULL DOCUMENTS MTAA WA KISHUA ZAID METER 700 KUTOKA MAIN ROAD