Mashamba yanauzwa Mkuranga, Pwani


Shamba linauzwa MKURANGA PANAITWA NJIA PANDA YA KISELE NI km 4 kutoka MKURANGA MJINI
Shamba lipo chini ya KM 1 kutoka lami…
Bei tsh 4,000,000 kwa heka( maongezi yapo)
Umeme na maji vipo karibu kabisa na shamba
Linauwa kuanzia heka 2
Gharama ya kutembelea mashamba ni TSH 30,000 ambayo italipwa mara moja tu
Kutembelea shamba nipigie 0785367831 au whatsapp 0769355987