Mashamba yanauzwa Talawanda, Pwani
Ekari 5 tu zinatosha kutengeneza eneo zuri kama hilo
🌴Ekari moja ni 1,300,000/= tuu unaweza kuanza kulipia 100,000/= kwa ekari na kwa ekari 5 utaanza kulipia 500,000/= kwa kila mwezi kwa miezi 13 jumla utakua umetumia 9,000,000/=
🌴Mashamba yako kijiji cha Talawanda wilaya ya Chalinze. Km 15 tu kutoka barabara ya lami.
🌴Huduma za kijamii ziko karibu na mashamba, maji na umeme zimepita karibu na mradi
🌴Kuona mashamba ni kila Jumamosi safari inaanzia ofisini Sinza makaburini saa mbili asubuhi.
Piga simu kuweka booking na kupata site plan
☎+255683273159
Ujanja ni kumiliki ardhi